Walawi 8:6
Leviticus 8:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha Mose akamleta Aroni na wanawe mbele, akawaosha kwa maji.
Leviticus 8:6 in English
Leviticus 8:6 · Berean Standard Bible
Then Moses presented Aaron and his sons and washed them with water.
Context
4Mose akafanya kama Bwana alivyomwagiza, na mkutano ukakusanyika kwenye ingilio la Hema la Kukutania. 5Mose akaliambia kusanyiko, “Hili ndilo Bwana ameagiza lifanyike.” 6Kisha Mose akamleta Aroni na wanawe mbele, akawaosha kwa maji. 7Akamvika Aroni koti, akamfunga mshipi, akamvika joho na kumvalisha kisibau. Pia akafunga kisibau juu yake na kukifunga kiunoni mwake kwa mshipi wake uliosokotwa kwa ustadi. 8Akaweka kifuko cha kifuani juu yake, na kuweka Urimu na Thumimu* kwenye hicho kifuko.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.