Native Bible

Leviticus 8:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mose akafanya kama Bwana alivyomwagiza, na mkutano ukakusanyika kwenye ingilio la Hema la Kukutania.

Leviticus 8:4 in English

Leviticus 8:4 · Berean Standard Bible

So Moses did as the LORD had commanded him, and the assembly gathered at the entrance to the Tent of Meeting.

Context

2“Waletee Aroni na wanawe mavazi yao, mafuta ya upako, fahali kwa ajili ya sadaka ya dhambi, kondoo dume wawili na kikapu chenye mikate iliyotengenezwa bila chachu. 3Kisha kusanya mkutano wote kwenye ingilio la Hema la Kukutania.” 4Mose akafanya kama Bwana alivyomwagiza, na mkutano ukakusanyika kwenye ingilio la Hema la Kukutania. 5Mose akaliambia kusanyiko, “Hili ndilo Bwana ameagiza lifanyike.” 6Kisha Mose akamleta Aroni na wanawe mbele, akawaosha kwa maji.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.