Walawi 8:5
Leviticus 8:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mose akaliambia kusanyiko, “Hili ndilo Bwana ameagiza lifanyike.”
Leviticus 8:5 in English
Leviticus 8:5 · Berean Standard Bible
And Moses said to them, “This is what the LORD has commanded to be done.”
Context
3Kisha kusanya mkutano wote kwenye ingilio la Hema la Kukutania.” 4Mose akafanya kama Bwana alivyomwagiza, na mkutano ukakusanyika kwenye ingilio la Hema la Kukutania. 5Mose akaliambia kusanyiko, “Hili ndilo Bwana ameagiza lifanyike.” 6Kisha Mose akamleta Aroni na wanawe mbele, akawaosha kwa maji. 7Akamvika Aroni koti, akamfunga mshipi, akamvika joho na kumvalisha kisibau. Pia akafunga kisibau juu yake na kukifunga kiunoni mwake kwa mshipi wake uliosokotwa kwa ustadi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.