Native Bible

Leviticus 24:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Iweke katika mistari miwili, kila mstari mikate sita, uiweke mbele za Bwana juu ya meza iliyotengenezwa kwa dhahabu safi.

Leviticus 24:6 in English

Leviticus 24:6 · Berean Standard Bible

and set them in two rows—six per row—on the table of pure gold before the LORD.

Context

4Taa zilizo juu ya kinara cha dhahabu safi mbele za Bwana lazima zihudumiwe daima. 5“Chukua unga laini, uoke mikate kumi na miwili, ukitumia sehemu mbili za kumi za efa* za unga kwa kila mkate. 6Iweke katika mistari miwili, kila mstari mikate sita, uiweke mbele za Bwana juu ya meza iliyotengenezwa kwa dhahabu safi. 7Kando ya kila mstari, weka uvumba safi kama sehemu ya kumbukumbu ili kuwakilisha mikate kuwa sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa kuteketezwa kwa moto. 8Mikate hii itawekwa mbele za Bwana kila wakati, Sabato baada ya Sabato, kwa niaba ya Waisraeli, kuwa Agano la kudumu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.