Native Bible

Leviticus 18:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“ ‘Usikutane kimwili na dada yako, wala binti wa baba yako, au binti wa mama yako, awe amezaliwa katika nyumba hiyo au mahali pengine.

Leviticus 18:9 in English

Leviticus 18:9 · Berean Standard Bible

You must not have sexual relations with your sister, either your father’s daughter or your mother’s daughter, whether she was born in the same home or elsewhere.

Context

7“ ‘Usimvunjie heshima baba yako kwa kukutana kimwili na mama yako. Yeye ni mama yako; usiwe na mahusiano kama hayo naye. 8“ ‘Usikutane kimwili na mke wa baba yako; hiyo itamvunjia heshima baba yako. 9“ ‘Usikutane kimwili na dada yako, wala binti wa baba yako, au binti wa mama yako, awe amezaliwa katika nyumba hiyo au mahali pengine. 10“ ‘Usikutane kimwili na binti wa mwanao ama binti wa binti yako; utajivunjia heshima. 11“ ‘Usikutane kimwili na binti wa mke wa baba yako, aliyezaliwa na baba yako; huyo ni dada yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.