Walawi 18:11
Leviticus 18:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Usikutane kimwili na binti wa mke wa baba yako, aliyezaliwa na baba yako; huyo ni dada yako.
Leviticus 18:11 in English
Leviticus 18:11 · Berean Standard Bible
You must not have sexual relations with the daughter of your father’s wife, born to your father; she is your sister.
Context
9“ ‘Usikutane kimwili na dada yako, wala binti wa baba yako, au binti wa mama yako, awe amezaliwa katika nyumba hiyo au mahali pengine. 10“ ‘Usikutane kimwili na binti wa mwanao ama binti wa binti yako; utajivunjia heshima. 11“ ‘Usikutane kimwili na binti wa mke wa baba yako, aliyezaliwa na baba yako; huyo ni dada yako. 12“ ‘Usikutane kimwili na dada wa baba yako; ni ndugu wa karibu wa baba yako. 13“ ‘Usikutane kimwili na dada wa mama yako, kwa sababu ni ndugu wa mama yako wa karibu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.