Walawi 18:10
Leviticus 18:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Usikutane kimwili na binti wa mwanao ama binti wa binti yako; utajivunjia heshima.
Leviticus 18:10 in English
Leviticus 18:10 · Berean Standard Bible
You must not have sexual relations with your son’s daughter or your daughter’s daughter, for that would shame your family.
Context
8“ ‘Usikutane kimwili na mke wa baba yako; hiyo itamvunjia heshima baba yako. 9“ ‘Usikutane kimwili na dada yako, wala binti wa baba yako, au binti wa mama yako, awe amezaliwa katika nyumba hiyo au mahali pengine. 10“ ‘Usikutane kimwili na binti wa mwanao ama binti wa binti yako; utajivunjia heshima. 11“ ‘Usikutane kimwili na binti wa mke wa baba yako, aliyezaliwa na baba yako; huyo ni dada yako. 12“ ‘Usikutane kimwili na dada wa baba yako; ni ndugu wa karibu wa baba yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.