Native Bible

Leviticus 18:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“ ‘Usimvunjie heshima baba yako kwa kukutana kimwili na mama yako. Yeye ni mama yako; usiwe na mahusiano kama hayo naye.

Leviticus 18:7 in English

Leviticus 18:7 · Berean Standard Bible

You must not expose the nakedness of your father by having sexual relations with your mother. She is your mother; you must not have sexual relations with her.

Context

5Zishikeni amri zangu na sheria zangu, kwa maana mtu anayezitii ataishi kwa hizo. Mimi ndimi Bwana. 6“ ‘Hakuna mtu awaye yote atakayemsogelea ndugu wa karibu ili kukutana naye kimwili. Mimi ndimi Bwana. 7“ ‘Usimvunjie heshima baba yako kwa kukutana kimwili na mama yako. Yeye ni mama yako; usiwe na mahusiano kama hayo naye. 8“ ‘Usikutane kimwili na mke wa baba yako; hiyo itamvunjia heshima baba yako. 9“ ‘Usikutane kimwili na dada yako, wala binti wa baba yako, au binti wa mama yako, awe amezaliwa katika nyumba hiyo au mahali pengine.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.