Native Bible

Leviticus 18:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“ ‘Hakuna mtu awaye yote atakayemsogelea ndugu wa karibu ili kukutana naye kimwili. Mimi ndimi Bwana.

Leviticus 18:6 in English

Leviticus 18:6 · Berean Standard Bible

None of you are to approach any close relative to have sexual relations.* I am the LORD.

Context

4Ni lazima mzitii sheria zangu, na mwe waangalifu kuzifuata amri zangu. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu. 5Zishikeni amri zangu na sheria zangu, kwa maana mtu anayezitii ataishi kwa hizo. Mimi ndimi Bwana. 6“ ‘Hakuna mtu awaye yote atakayemsogelea ndugu wa karibu ili kukutana naye kimwili. Mimi ndimi Bwana. 7“ ‘Usimvunjie heshima baba yako kwa kukutana kimwili na mama yako. Yeye ni mama yako; usiwe na mahusiano kama hayo naye. 8“ ‘Usikutane kimwili na mke wa baba yako; hiyo itamvunjia heshima baba yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.