Walawi 18:16
Leviticus 18:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Usikutane kimwili na mke wa kaka yako; utamvunjia heshima kaka yako.
Leviticus 18:16 in English
Leviticus 18:16 · Berean Standard Bible
You must not have sexual relations with your brother’s wife; that would shame your brother.
Context
14“ ‘Usimvunjie heshima ndugu wa baba yako, kwa kukutana kimwili na mke wake; yeye ni shangazi yako. 15“ ‘Usikutane kimwili na mkwe wako, yeye ni mke wa mwanao; usiwe na mahusiano kama hayo naye. 16“ ‘Usikutane kimwili na mke wa kaka yako; utamvunjia heshima kaka yako. 17“ ‘Usikutane kimwili na mwanamke kisha na binti yake. Usikutane kimwili na binti wa mwanawe au binti wa binti yake; hao ni ndugu zake wa karibu. Huo ni uovu. 18“ ‘Usimchukue dada wa mke wako kuwa mke mwenza, na kukutana naye kimwili wakati bado mke wako anaishi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.