Native Bible

Leviticus 18:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“ ‘Usikutane kimwili na mkwe wako, yeye ni mke wa mwanao; usiwe na mahusiano kama hayo naye.

Leviticus 18:15 in English

Leviticus 18:15 · Berean Standard Bible

You must not have sexual relations with your daughter-in-law. She is your son’s wife; you are not to have sexual relations with her.

Context

13“ ‘Usikutane kimwili na dada wa mama yako, kwa sababu ni ndugu wa mama yako wa karibu. 14“ ‘Usimvunjie heshima ndugu wa baba yako, kwa kukutana kimwili na mke wake; yeye ni shangazi yako. 15“ ‘Usikutane kimwili na mkwe wako, yeye ni mke wa mwanao; usiwe na mahusiano kama hayo naye. 16“ ‘Usikutane kimwili na mke wa kaka yako; utamvunjia heshima kaka yako. 17“ ‘Usikutane kimwili na mwanamke kisha na binti yake. Usikutane kimwili na binti wa mwanawe au binti wa binti yake; hao ni ndugu zake wa karibu. Huo ni uovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.