Walawi 18:14
Leviticus 18:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Usimvunjie heshima ndugu wa baba yako, kwa kukutana kimwili na mke wake; yeye ni shangazi yako.
Leviticus 18:14 in English
Leviticus 18:14 · Berean Standard Bible
You must not dishonor your father’s brother by approaching his wife to have sexual relations with her; she is your aunt.
Context
12“ ‘Usikutane kimwili na dada wa baba yako; ni ndugu wa karibu wa baba yako. 13“ ‘Usikutane kimwili na dada wa mama yako, kwa sababu ni ndugu wa mama yako wa karibu. 14“ ‘Usimvunjie heshima ndugu wa baba yako, kwa kukutana kimwili na mke wake; yeye ni shangazi yako. 15“ ‘Usikutane kimwili na mkwe wako, yeye ni mke wa mwanao; usiwe na mahusiano kama hayo naye. 16“ ‘Usikutane kimwili na mke wa kaka yako; utamvunjia heshima kaka yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.