Yoshua 24:28
Joshua 24:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi Yoshua akawatuma watu kila mmoja aende katika urithi wake mwenyewe.
Joshua 24:28 in English
Joshua 24:28 · Berean Standard Bible
Then Joshua sent the people away, each to his own inheritance.
Context
26Naye Yoshua akayaandika mambo haya katika Kitabu cha Sheria ya Mungu. Ndipo akalitwaa jiwe kubwa, akalisimamisha huko chini ya mwaloni, karibu na mahali patakatifu pa Bwana. 27Yoshua akawaambia watu wote, “Angalieni! Jiwe hili litakuwa shahidi juu yetu. Limesikia maneno yote Bwana aliyotuambia. Litakuwa shahidi juu yenu kama mtakuwa waongo kwa Mungu wenu.” 28Basi Yoshua akawatuma watu kila mmoja aende katika urithi wake mwenyewe. 29Baada ya mambo haya, Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Bwana akafa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi. 30Nao wakamzika katika nchi ya urithi wake, huko Timnath-Sera* katika nchi ya vilima ya Efraimu, kaskazini ya Mlima wa Gaashi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.