Yoshua 19:46
Joshua 19:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Me-Yarkoni na Rakoni, pamoja na eneo linalotazamana na Yafa.
Joshua 19:46 in English
Joshua 19:46 · Berean Standard Bible
Me-jarkon, and Rakkon, including the territory across from Joppa.
Context
44Elteke, Gibethoni, Baalathi, 45Yehudi, Bene-Beraki, Gath-Rimoni, 46Me-Yarkoni na Rakoni, pamoja na eneo linalotazamana na Yafa. 47(Lakini Wadani walipata shida kulimiliki eneo lao; kwa hiyo walipanda kuishambulia Leshemu, wakaitwaa, wakawaua watu wake kwa upanga na kuukalia. Walikaa Leshemu na kuuita Dani kufuatana na jina la baba yao.) 48Miji hii na vijiji vyake ndio iliyokuwa urithi wa kabila la Dani, ukoo kwa ukoo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.