Yoshua 19:45
Joshua 19:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yehudi, Bene-Beraki, Gath-Rimoni,
Joshua 19:45 in English
Joshua 19:45 · Berean Standard Bible
Jehud, Bene-berak, Gath-rimmon,
Context
43Eloni, Timna, Ekroni, 44Elteke, Gibethoni, Baalathi, 45Yehudi, Bene-Beraki, Gath-Rimoni, 46Me-Yarkoni na Rakoni, pamoja na eneo linalotazamana na Yafa. 47(Lakini Wadani walipata shida kulimiliki eneo lao; kwa hiyo walipanda kuishambulia Leshemu, wakaitwaa, wakawaua watu wake kwa upanga na kuukalia. Walikaa Leshemu na kuuita Dani kufuatana na jina la baba yao.)
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.