Native Bible

Joshua 15:62 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nibshani, Mji wa Chumvi, na En-Gedi; miji sita pamoja na vijiji vyake.

Joshua 15:62 in English

Joshua 15:62 · Berean Standard Bible

Nibshan, the City of Salt, and En-gedi—six cities, along with their villages.

Context

60Kiriath-Baali (yaani Kiriath-Yearimu) na Raba; miji miwili pamoja na vijiji vyake. 61Huko jangwani: Beth-Araba, Midini, Sekaka, 62Nibshani, Mji wa Chumvi, na En-Gedi; miji sita pamoja na vijiji vyake. 63Yuda hakuweza kuwafukuza Wayebusi, waliokuwa wakiishi Yerusalemu; hadi leo Wayebusi huishi huko pamoja na watu wa Yuda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.