Yoshua 15:61
Joshua 15:61 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huko jangwani: Beth-Araba, Midini, Sekaka,
Joshua 15:61 in English
Joshua 15:61 · Berean Standard Bible
These were in the wilderness: Beth-arabah, Middin, Secacah,
Context
59Maarathi, Beth-Anothi na Eltekoni; miji sita pamoja na vijiji vyake. 60Kiriath-Baali (yaani Kiriath-Yearimu) na Raba; miji miwili pamoja na vijiji vyake. 61Huko jangwani:
Beth-Araba, Midini, Sekaka, 62Nibshani, Mji wa Chumvi, na En-Gedi; miji sita pamoja na vijiji vyake. 63Yuda hakuweza kuwafukuza Wayebusi, waliokuwa wakiishi Yerusalemu; hadi leo Wayebusi huishi huko pamoja na watu wa Yuda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.