Yoshua 15:47
Joshua 15:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ashdodi, miji yake na vijiji vyake na Gaza viunga vyake na vijiji vyake, hadi kufikia Kijito cha Misri na Pwani ya Bahari Kuu.
Joshua 15:47 in English
Joshua 15:47 · Berean Standard Bible
Ashdod, with its towns and villages; Gaza, with its towns and villages, as far as the Brook of Egypt and the coastline of the Great Sea.
Context
45Ekroni, pamoja na viunga vyake na vijiji vyake; 46magharibi ya Ekroni, maeneo yote yaliyokuwa karibu na Ashdodi, pamoja na vijiji vyake; 47Ashdodi, miji yake na vijiji vyake na Gaza viunga vyake na vijiji vyake, hadi kufikia Kijito cha Misri na Pwani ya Bahari Kuu. 48Katika nchi ya vilima:
Shamiri, Yatiri, Soko, 49Dana, Kiriath-Sana (yaani Debiri),
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.