Yoshua 15:45
Joshua 15:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ekroni, pamoja na viunga vyake na vijiji vyake;
Joshua 15:45 in English
Joshua 15:45 · Berean Standard Bible
Ekron, with its towns and villages;
Context
43Yifta, Ashna, Nesibu, 44Keila, Akzibu na Maresha; yote ni miji tisa pamoja na vijiji vyake. 45Ekroni, pamoja na viunga vyake na vijiji vyake; 46magharibi ya Ekroni, maeneo yote yaliyokuwa karibu na Ashdodi, pamoja na vijiji vyake; 47Ashdodi, miji yake na vijiji vyake na Gaza viunga vyake na vijiji vyake, hadi kufikia Kijito cha Misri na Pwani ya Bahari Kuu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.