Yoshua 15:46
Joshua 15:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
magharibi ya Ekroni, maeneo yote yaliyokuwa karibu na Ashdodi, pamoja na vijiji vyake;
Joshua 15:46 in English
Joshua 15:46 · Berean Standard Bible
from Ekron to the sea, all the cities near Ashdod, along with their villages;
Context
44Keila, Akzibu na Maresha; yote ni miji tisa pamoja na vijiji vyake. 45Ekroni, pamoja na viunga vyake na vijiji vyake; 46magharibi ya Ekroni, maeneo yote yaliyokuwa karibu na Ashdodi, pamoja na vijiji vyake; 47Ashdodi, miji yake na vijiji vyake na Gaza viunga vyake na vijiji vyake, hadi kufikia Kijito cha Misri na Pwani ya Bahari Kuu. 48Katika nchi ya vilima:
Shamiri, Yatiri, Soko,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.