Yoshua 15:49
Joshua 15:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Dana, Kiriath-Sana (yaani Debiri),
Joshua 15:49 in English
Joshua 15:49 · Berean Standard Bible
Dannah, Kiriath-sannah (that is, Debir),
Context
47Ashdodi, miji yake na vijiji vyake na Gaza viunga vyake na vijiji vyake, hadi kufikia Kijito cha Misri na Pwani ya Bahari Kuu. 48Katika nchi ya vilima:
Shamiri, Yatiri, Soko, 49Dana, Kiriath-Sana (yaani Debiri), 50Anabu, Eshtemoa, Animu, 51Gosheni, Holoni na Gilo; miji kumi na mmoja pamoja na vijiji vyake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.