Native Bible

Job 8:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ijapokuwa mwanzo wako ulikuwa mdogo, lakini mwisho wako utakuwa wa mafanikio.

Job 8:7 in English

Job 8:7 · Berean Standard Bible

Though your beginnings were modest, your latter days will flourish.

Context

5Lakini ukimtafuta Mungu, nawe ukamsihi Mwenyezi, 6ikiwa wewe ni safi na mnyofu, hata sasa atainuka mwenyewe kwa niaba yako, na kukurudisha katika mahali pako pa haki. 7Ijapokuwa mwanzo wako ulikuwa mdogo, lakini mwisho wako utakuwa wa mafanikio. 8“Ukaulize vizazi vilivyotangulia na uone baba zao walijifunza nini, 9kwa kuwa sisi tumezaliwa jana tu na hatujui lolote, nazo siku zetu duniani ni kama kivuli tu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.