Native Bible

Job 8:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini ukimtafuta Mungu, nawe ukamsihi Mwenyezi,

Job 8:5 in English

Job 8:5 · Berean Standard Bible

But if you would earnestly seek God and ask the Almighty for mercy,

Context

3Je, Mungu hupotosha hukumu? Je, Mwenyezi hupotosha kile kilicho haki? 4Watoto wako walipomtenda dhambi, aliwapa adhabu ya dhambi yao. 5Lakini ukimtafuta Mungu, nawe ukamsihi Mwenyezi, 6ikiwa wewe ni safi na mnyofu, hata sasa atainuka mwenyewe kwa niaba yako, na kukurudisha katika mahali pako pa haki. 7Ijapokuwa mwanzo wako ulikuwa mdogo, lakini mwisho wako utakuwa wa mafanikio.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.