Ayubu 8:6
Job 8:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ikiwa wewe ni safi na mnyofu, hata sasa atainuka mwenyewe kwa niaba yako, na kukurudisha katika mahali pako pa haki.
Job 8:6 in English
Job 8:6 · Berean Standard Bible
if you are pure and upright, even now He will rouse Himself on your behalf and restore your righteous estate.
Context
4Watoto wako walipomtenda dhambi,
aliwapa adhabu ya dhambi yao. 5Lakini ukimtafuta Mungu,
nawe ukamsihi Mwenyezi, 6ikiwa wewe ni safi na mnyofu,
hata sasa atainuka mwenyewe kwa niaba yako,
na kukurudisha katika mahali pako pa haki. 7Ijapokuwa mwanzo wako ulikuwa mdogo,
lakini mwisho wako utakuwa wa mafanikio. 8“Ukaulize vizazi vilivyotangulia
na uone baba zao walijifunza nini,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.