Ayubu 8:9
Job 8:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa kuwa sisi tumezaliwa jana tu na hatujui lolote, nazo siku zetu duniani ni kama kivuli tu.
Job 8:9 in English
Job 8:9 · Berean Standard Bible
For we were born yesterday and know nothing; our days on earth are but a shadow.
Context
7Ijapokuwa mwanzo wako ulikuwa mdogo,
lakini mwisho wako utakuwa wa mafanikio. 8“Ukaulize vizazi vilivyotangulia
na uone baba zao walijifunza nini, 9kwa kuwa sisi tumezaliwa jana tu na hatujui lolote,
nazo siku zetu duniani ni kama kivuli tu. 10Je, hawatakufundisha na kukueleza?
Je, hawataleta maneno kutoka kwenye kufahamu kwao? 11Je, mafunjo yaweza kumea mahali pasipo na matope?
Matete yaweza kustawi bila maji?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.