Native Bible

Job 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Ayubu akajibu:

Job 6:1 in English

Context

1Kisha Ayubu akajibu: 2“Laiti uchungu wangu ungeweza kupimwa, nayo taabu yangu yote ingewekwa kwenye mizani! 3Kwa kuwa hakika ingekuwa nzito kuliko mchanga wa bahari zote, kwa hiyo si ajabu maneno yangu yamekuwa ya haraka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.