Native Bible

Job 6:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Laiti uchungu wangu ungeweza kupimwa, nayo taabu yangu yote ingewekwa kwenye mizani!

Job 6:2 in English

Job 6:2 · Berean Standard Bible

“If only my grief could be weighed and placed with my calamity on the scales.

Context

1Kisha Ayubu akajibu: 2“Laiti uchungu wangu ungeweza kupimwa, nayo taabu yangu yote ingewekwa kwenye mizani! 3Kwa kuwa hakika ingekuwa nzito kuliko mchanga wa bahari zote, kwa hiyo si ajabu maneno yangu yamekuwa ya haraka. 4Mishale ya Mwenyezi iko ndani yangu, roho yangu inakunywa sumu yake; vitisho vya Mungu vimejipanga dhidi yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.