Native Bible

Job 5:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mimi mwenyewe nimemwona mpumbavu akistawi, lakini ghafula nyumba yake ikawa imelaaniwa.

Job 5:3 in English

Job 5:3 · Berean Standard Bible

I have seen a fool taking root, but suddenly his house was cursed.

Context

1“Ita kama unataka, lakini ni nani atakayekujibu? Ni yupi kati ya hao watakatifu utakayemgeukia? 2Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu, nao wivu humchinja mjinga. 3Mimi mwenyewe nimemwona mpumbavu akistawi, lakini ghafula nyumba yake ikawa imelaaniwa. 4Watoto wake wako mbali na usalama, hushindwa mahakamani bila mtetezi. 5Wenye njaa huyala mavuno yake, wakiyatoa hata katikati ya miiba, nao wenye kiu huitamani sana mali yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.