Ayubu 5:4
Job 5:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watoto wake wako mbali na usalama, hushindwa mahakamani bila mtetezi.
Job 5:4 in English
Job 5:4 · Berean Standard Bible
His sons are far from safety, crushed in court without a defender.
Context
2Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu,
nao wivu humchinja mjinga. 3Mimi mwenyewe nimemwona mpumbavu akistawi,
lakini ghafula nyumba yake ikawa imelaaniwa. 4Watoto wake wako mbali na usalama,
hushindwa mahakamani bila mtetezi. 5Wenye njaa huyala mavuno yake,
wakiyatoa hata katikati ya miiba,
nao wenye kiu huitamani sana mali yake. 6Kwa maana taabu haioti kutoka kwenye udongo,
wala udhia hauchipui kutoka ardhini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.