Native Bible

Job 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ita kama unataka, lakini ni nani atakayekujibu? Ni yupi kati ya hao watakatifu utakayemgeukia?

Job 5:1 in English

Job 5:1 · Berean Standard Bible

“Call out if you please, but who will answer? To which of the holy ones will you turn?

Context

1“Ita kama unataka, lakini ni nani atakayekujibu? Ni yupi kati ya hao watakatifu utakayemgeukia? 2Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu, nao wivu humchinja mjinga. 3Mimi mwenyewe nimemwona mpumbavu akistawi, lakini ghafula nyumba yake ikawa imelaaniwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.