Native Bible

Job 42:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya hili Ayubu akaishi miaka 140; akawaona wanawe na wana wa wanawe hata kizazi cha nne.

Job 42:16 in English

Job 42:16 · Berean Standard Bible

After this, Job lived 140 years and saw his children and their children to the fourth generation.

Context

14Binti wa kwanza aliitwa Yemima, wa pili Kesia na wa tatu Keren-Hapuki. 15Hapakuwepo mahali popote katika nchi ile yote palipopatikana wanawake wazuri kama binti za Ayubu; naye baba yao akawapa urithi pamoja na ndugu zao. 16Baada ya hili Ayubu akaishi miaka 140; akawaona wanawe na wana wa wanawe hata kizazi cha nne. 17Hivyo Ayubu akafa, akiwa mzee aliyekuwa ameshiba siku.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.