Ayubu 42:15
Job 42:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hapakuwepo mahali popote katika nchi ile yote palipopatikana wanawake wazuri kama binti za Ayubu; naye baba yao akawapa urithi pamoja na ndugu zao.
Job 42:15 in English
Job 42:15 · Berean Standard Bible
No women as beautiful as Job’s daughters could be found in all the land, and their father granted them an inheritance among their brothers.
Context
13Tena alikuwa na wana saba na binti watatu. 14Binti wa kwanza aliitwa Yemima, wa pili Kesia na wa tatu Keren-Hapuki. 15Hapakuwepo mahali popote katika nchi ile yote palipopatikana wanawake wazuri kama binti za Ayubu; naye baba yao akawapa urithi pamoja na ndugu zao. 16Baada ya hili Ayubu akaishi miaka 140; akawaona wanawe na wana wa wanawe hata kizazi cha nne. 17Hivyo Ayubu akafa, akiwa mzee aliyekuwa ameshiba siku.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.