Native Bible

Job 42:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo Ayubu akafa, akiwa mzee aliyekuwa ameshiba siku.

Job 42:17 in English

Job 42:17 · Berean Standard Bible

And so Job died, old and full of years.

Context

15Hapakuwepo mahali popote katika nchi ile yote palipopatikana wanawake wazuri kama binti za Ayubu; naye baba yao akawapa urithi pamoja na ndugu zao. 16Baada ya hili Ayubu akaishi miaka 140; akawaona wanawe na wana wa wanawe hata kizazi cha nne. 17Hivyo Ayubu akafa, akiwa mzee aliyekuwa ameshiba siku.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.