Ayubu 41:27
Job 41:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Chuma hukiona kama unyasi, na shaba kama mti uliooza.
Job 41:27 in English
Job 41:27 · Berean Standard Bible
He regards iron as straw and bronze as rotten wood.
Context
25Ainukapo, mashujaa wanaogopa;
hurudi nyuma mbele yake anapokwenda kwa kishindo. 26Upanga unaomfikia haumdhuru,
wala mkuki au mshale wala fumo. 27Chuma hukiona kama unyasi,
na shaba kama mti uliooza. 28Mishale haimfanyi yeye akimbie;
mawe ya kombeo kwake ni kama makapi. 29Rungu kwake huwa kama kipande cha jani kavu;
hucheka sauti za kugongana kwa mkuki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.