Native Bible

Job 41:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Rungu kwake huwa kama kipande cha jani kavu; hucheka sauti za kugongana kwa mkuki.

Job 41:29 in English

Job 41:29 · Berean Standard Bible

A club is regarded as straw, and he laughs at the sound of the lance.*

Context

27Chuma hukiona kama unyasi, na shaba kama mti uliooza. 28Mishale haimfanyi yeye akimbie; mawe ya kombeo kwake ni kama makapi. 29Rungu kwake huwa kama kipande cha jani kavu; hucheka sauti za kugongana kwa mkuki. 30Sehemu zake za chini kwenye tumbo zina menomeno na mapengo kama vigae vya chungu, zikiacha mburuzo kwenye matope kama chombo chenye meno cha kupuria. 31Huvisukasuka vilindi kama sufuria kubwa ichemkayo, na kukoroga bahari kama chungu cha marhamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.