Ayubu 41:31
Job 41:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huvisukasuka vilindi kama sufuria kubwa ichemkayo, na kukoroga bahari kama chungu cha marhamu.
Job 41:31 in English
Job 41:31 · Berean Standard Bible
He makes the depths seethe like a cauldron; he makes the sea like a jar of ointment.
Context
29Rungu kwake huwa kama kipande cha jani kavu;
hucheka sauti za kugongana kwa mkuki. 30Sehemu zake za chini kwenye tumbo
zina menomeno na mapengo kama vigae vya chungu,
zikiacha mburuzo kwenye matope
kama chombo chenye meno cha kupuria. 31Huvisukasuka vilindi kama sufuria kubwa ichemkayo,
na kukoroga bahari kama chungu cha marhamu. 32Anapopita nyuma yake huacha mkondo unaometameta;
mtu angedhani vilindi vilikuwa na mvi. 33Hakuna chochote duniani kinacholingana naye:
yeye ni kiumbe kisicho na woga.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.