Ayubu 34:3
Job 34:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno kama vile ulimi uonjavyo chakula.
Job 34:3 in English
Job 34:3 · Berean Standard Bible
For the ear tests words as the mouth tastes food.
Context
1Kisha Elihu akasema: 2“Sikieni maneno yangu, enyi watu wenye hekima;
nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye maarifa. 3Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno
kama vile ulimi uonjavyo chakula. 4Tujichagulie wenyewe yaliyo sawa,
nasi tujifunze pamoja yaliyo mema. 5“Ayubu anasema, ‘Mimi sina hatia,
lakini Mungu ameninyima haki yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.