Native Bible

Job 34:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Elihu akasema:

Job 34:1 in English

Context

1Kisha Elihu akasema: 2“Sikieni maneno yangu, enyi watu wenye hekima; nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye maarifa. 3Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno kama vile ulimi uonjavyo chakula.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.