Native Bible

Job 34:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Sikieni maneno yangu, enyi watu wenye hekima; nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye maarifa.

Job 34:2 in English

Job 34:2 · Berean Standard Bible

“Hear my words, O wise men; give ear to me, O men of learning.

Context

1Kisha Elihu akasema: 2“Sikieni maneno yangu, enyi watu wenye hekima; nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye maarifa. 3Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno kama vile ulimi uonjavyo chakula. 4Tujichagulie wenyewe yaliyo sawa, nasi tujifunze pamoja yaliyo mema.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.