Ayubu 24:4
Job 24:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Humsukuma mhitaji kutoka njia, na kuwafanya maskini wote wa nchi kulazimika kujificha.
Job 24:4 in English
Job 24:4 · Berean Standard Bible
They push the needy off the road and force all the poor of the land into hiding.
Context
2Watu husogeza mawe ya mpaka;
huchunga makundi ya wanyama waliyonyangʼanya kwa nguvu. 3Huwanyangʼanya yatima punda wao,
na kumchukua rehani fahali wa mjane. 4Humsukuma mhitaji kutoka njia,
na kuwafanya maskini wote wa nchi kulazimika kujificha. 5Kama punda-mwitu jangwani,
maskini huzunguka katika kazi zao za kutafuta chakula;
mahali palipo jangwa
huwapa chakula cha watoto wao. 6Hukusanya chakula mashambani na kuokota masazo
katika mashamba ya mizabibu ya waovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.