Ayubu 24:2
Job 24:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watu husogeza mawe ya mpaka; huchunga makundi ya wanyama waliyonyangʼanya kwa nguvu.
Job 24:2 in English
Job 24:2 · Berean Standard Bible
Men move boundary stones; they pasture stolen flocks.
Context
1“Kwa nini Mwenyezi asiweke nyakati kwa ajili ya hukumu?
Kwa nini wale wamjuao wazitafute siku kama hizo bila mafanikio? 2Watu husogeza mawe ya mpaka;
huchunga makundi ya wanyama waliyonyangʼanya kwa nguvu. 3Huwanyangʼanya yatima punda wao,
na kumchukua rehani fahali wa mjane. 4Humsukuma mhitaji kutoka njia,
na kuwafanya maskini wote wa nchi kulazimika kujificha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.