Native Bible

Job 24:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kwa nini Mwenyezi asiweke nyakati kwa ajili ya hukumu? Kwa nini wale wamjuao wazitafute siku kama hizo bila mafanikio?

Job 24:1 in English

Job 24:1 · Berean Standard Bible

“Why does the Almighty not reserve times for judgment? Why may those who know Him never see His days?

Context

1“Kwa nini Mwenyezi asiweke nyakati kwa ajili ya hukumu? Kwa nini wale wamjuao wazitafute siku kama hizo bila mafanikio? 2Watu husogeza mawe ya mpaka; huchunga makundi ya wanyama waliyonyangʼanya kwa nguvu. 3Huwanyangʼanya yatima punda wao, na kumchukua rehani fahali wa mjane.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.