Native Bible

Job 24:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huwafanya mawindo wanawake tasa na wasio na watoto, nao hawaonyeshi huruma kwa wajane.

Job 24:21 in English

Job 24:21 · Berean Standard Bible

They prey on the barren and childless, and show no kindness to the widow.

Context

19Kama vile joto na hari vinyakuavyo theluji iliyoyeyuka, ndivyo kuzimu kuwanyakuavyo waliotenda dhambi. 20Tumbo lililowazaa huwasahau, nao huwa karamu ya mabuu; watu waovu hawakumbukwi tena, lakini huvunjika kama mti. 21Huwafanya mawindo wanawake tasa na wasio na watoto, nao hawaonyeshi huruma kwa wajane. 22Lakini Mungu huwakokota wenye nguvu kwa uwezo wake; ingawa wamestawi, hawana hakika ya maisha. 23Aweza akawaacha wakapumzika wakijihisi salama, lakini macho yake yanaona njia zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.