Native Bible

Job 23:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ningejua kwamba angenijibu nini, na kuelewa lile ambalo angelisema.

Job 23:5 in English

Job 23:5 · Berean Standard Bible

I would learn how He would answer, and consider what He would say.

Context

3Laiti ningefahamu mahali pa kumwona; laiti ningeweza kwenda mahali akaapo! 4Ningeliweka shauri langu mbele zake, na kukijaza kinywa changu na hoja. 5Ningejua kwamba angenijibu nini, na kuelewa lile ambalo angelisema. 6Je, angenipinga kwa nguvu nyingi? La, asingenigandamiza. 7Hapo mtu mwadilifu angeweka shauri lake mbele zake, nami ningeokolewa milele na mhukumu wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.