Ayubu 23:3
Job 23:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Laiti ningefahamu mahali pa kumwona; laiti ningeweza kwenda mahali akaapo!
Job 23:3 in English
Job 23:3 · Berean Standard Bible
If only I knew where to find Him, so that I could go to His seat.
Context
1Ndipo Ayubu akajibu: 2“Hata leo malalamiko yangu ni chungu;
mkono wake ni mzito juu yangu hata nikiugua. 3Laiti ningefahamu mahali pa kumwona;
laiti ningeweza kwenda mahali akaapo! 4Ningeliweka shauri langu mbele zake,
na kukijaza kinywa changu na hoja. 5Ningejua kwamba angenijibu nini,
na kuelewa lile ambalo angelisema.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.