Ayubu 23:6
Job 23:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, angenipinga kwa nguvu nyingi? La, asingenigandamiza.
Job 23:6 in English
Job 23:6 · Berean Standard Bible
Would He contend with me in His great power? No, He would certainly take note of me.
Context
4Ningeliweka shauri langu mbele zake,
na kukijaza kinywa changu na hoja. 5Ningejua kwamba angenijibu nini,
na kuelewa lile ambalo angelisema. 6Je, angenipinga kwa nguvu nyingi?
La, asingenigandamiza. 7Hapo mtu mwadilifu angeweka shauri lake mbele zake,
nami ningeokolewa milele na mhukumu wangu. 8“Lakini nikienda mashariki, hayupo;
nikienda magharibi, simpati.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.