Ayubu 22:9
Job 22:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umewafukuza wajane mikono mitupu na kuzivunja nguvu za yatima.
Job 22:9 in English
Job 22:9 · Berean Standard Bible
You sent widows away empty-handed, and the strength of the fatherless was crushed.
Context
7Hukumpa maji aliyechoka,
nawe ulimnyima chakula mwenye njaa, 8ingawa ulikuwa mtu mwenye uwezo ukimiliki nchi:
mtu uliyeheshimiwa, ukiishi ndani yake. 9Umewafukuza wajane mikono mitupu
na kuzivunja nguvu za yatima. 10Ndiyo sababu mitego imekuzunguka pande zote,
hatari ya ghafula inakutia hofu, 11ndiyo sababu ni giza sana huwezi kuona,
tena ndiyo sababu mafuriko ya maji yamekufunika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.