Ayubu 22:7
Job 22:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hukumpa maji aliyechoka, nawe ulimnyima chakula mwenye njaa,
Job 22:7 in English
Job 22:7 · Berean Standard Bible
You gave no water to the weary and withheld food from the famished,
Context
5Je, uovu wako si mkuu?
Dhambi zako si hazina mwisho? 6Umedai dhamana kwa ndugu zako bila sababu;
umewavua watu nguo zao, ukawaacha uchi. 7Hukumpa maji aliyechoka,
nawe ulimnyima chakula mwenye njaa, 8ingawa ulikuwa mtu mwenye uwezo ukimiliki nchi:
mtu uliyeheshimiwa, ukiishi ndani yake. 9Umewafukuza wajane mikono mitupu
na kuzivunja nguvu za yatima.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.