Ayubu 22:10
Job 22:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndiyo sababu mitego imekuzunguka pande zote, hatari ya ghafula inakutia hofu,
Job 22:10 in English
Job 22:10 · Berean Standard Bible
Therefore snares surround you, and sudden peril terrifies you;
Context
8ingawa ulikuwa mtu mwenye uwezo ukimiliki nchi:
mtu uliyeheshimiwa, ukiishi ndani yake. 9Umewafukuza wajane mikono mitupu
na kuzivunja nguvu za yatima. 10Ndiyo sababu mitego imekuzunguka pande zote,
hatari ya ghafula inakutia hofu, 11ndiyo sababu ni giza sana huwezi kuona,
tena ndiyo sababu mafuriko ya maji yamekufunika. 12“Je, Mungu hayuko katika mbingu za juu?
Juu kuliko nyota zilizo juu sana!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.