Native Bible

Job 16:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Nimepata kusikia mambo mengi kama haya, nanyi nyote ni wafariji wenye kutaabisha!

Job 16:2 in English

Job 16:2 · Berean Standard Bible

“I have heard many things like these; miserable comforters are you all.

Context

1Kisha Ayubu akajibu: 2“Nimepata kusikia mambo mengi kama haya, nanyi nyote ni wafariji wenye kutaabisha! 3Je, maneno yenu mengi yasiyo na maana hayana mwisho? Mna nini hata mwendelee kushindana kwa maneno? 4Mimi pia ningeweza kuzungumza kama ninyi, kama mngekuwa katika hali yangu; ningeweza kutoa hotuba nzuri dhidi yenu, na kuwatikisia ninyi kichwa changu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.